Jamani mashosti tuwaunge mkono wabunifu wetu wa ndani
Anayefanikisha hili ni Ailinda Sawe tumuunge mkono kwa kumtumia kubuni nguo zetu |
Cheki mgauni huo |
Mwenyewe Ailinda ndo huyo mbele |
Hii ni kazi za Fansisca Shirima wa Francoo Design |
Haya Chacha |
Unaona kazi hiyo |
Zinafaa jamani hata katika Kitchen Party |
Hii ni kazi ya KIKI Fashion |
Kiki ndo huyo wa hapo kati |
0 comments: