Mdada Vanesa Mdee amekuja kuwashika
Whaoooo! she hold her first Press meeting today at Club 327 |
Alijibu maswali vema na kupata muda wa kutosha wa kufahamiana na waandishi wa habari |
Ki ukweli yupo vema katika kujieleza na kujibu maswali |
Omary akawasikilizisha waandishi ngoma ya Vanessa iitwayo Closer ni balaa |
Hapooo Chacha inaelekea asa hivi atakula dili la Hennessy manake yani anaonekana amekaa kibiashara kwelikweli mrembo huyu |
Habari Kamilina Eve wa Tzdadaz
Mwanadada wa kileo Vanesa Mdee leo amefanya mkutano na waandishi wa habari kuelezea mkakati wake katiak medani ya muziki wa kizazi kipya ambao ameianza kwa nguvu kubwa.
Katika mkutano wake huo wa leo Vanesa alisema kuwa amejipanga kuhakikisha kuwa anawakilisha vema ndani na nje ya nchi kwa kutumia wataalamu wa muziki ambao amesema kuwa wana uwezo mkubwa katika kutengeneza aina ya muziki anaoutaka.
Alifafanua kuwa kusema kuwa anatarajia mwaka huu kabla ya kumalizika atafanya nyimbo nyingi na wasanii wa nje hasa wakiwa wa nchini Nigeria kuwa kuwa anauwezo wa kufanya vema katika medani hiyo.
Note: Zaidi tutawafahamisha kesho mchana
z
haya mrembo unatisha
ReplyDelete