TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Tuesday 11 December 2012

Ubunifu wa mavazi ni moja kati ya sekta ambazo zimeajili akina dada wengi sana

Mbunifu wa mavazi gwiji nchini Evelyin Rugemalila ni mmoja kati ya akinadada waliojiajili katika sekta ya ubunifu na wanafanya vema sana

Wapo akinadada ambao ni wanamitindo na hivyo kujiongezea kipato kwa kupitia fani hiyo ya uanamitindo

Mfano ni kama huyu ambapo hulipwa fedha kwa ajili ya kupita kuonesha mavazi ya wabunifu mbalimbali jukwaani

Ni mzurii !!!

Kupitia ubunifu wa mavazi wabunifu hupata fursa ya kuuza nguo zao kwa jaili ya kuchangia mahitaji mbalimbali hapa ni kama anavyoonekana mbunifu wa mavazi Kadija Mwanamboka (kulia) akiwa na Flaviana Matata


Huyu ni mwanafunzi wa Tumaini Alexia William akionesha mavazi ya Mustapha Hasanali

0 comments: