TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Sunday 14 April 2013

Kajala awahasa wanawake kuepuka kupewa vya bure



Kajala akiwa na marafiki zake mbalimbali akiwamo Beny Kinyaiya na wengineo wadau wa filamu nchini, Kajala aliwataka wanawake kuepuka kupokeza zawadi kutoka kw awatu wasiowafahamu.

Aliiambia safu hii kuwa kwa sasa amejifunza mengi kufuatia mambo yaliyomkuta yeye akiwa kama mwanamke aliyekuwa akipewa fedha bila ya kujua anaempatia

0 comments: