TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Tuesday 16 April 2013

Quen suzy kuingia bongo fleva

MCHEZA muziki wa bendi ya FM Academia Queen Suzy ameamua kujikita katika muziki wa kizazi kipya.

Akizungumza na safu hii Queen Suzy alisema kuwa kwa sasa ameanza kurekodi wimbo wake wa mapenzi wa muziki wa kizazi kipya.

Alisema kuwa anaona mbali na kuwa mchezaji mahiri wa muziki wa dansi lakini anaiona fursa kubwa katika muzii wa kizazi kipya.

" Najua katika maisha kuna mambo mengi ya kujiendeleza mimki naona kuwa mbali na kuwa ninamiliki baa na kujiongezea kipato lakini ngoj akidogo niguze kwenye muziki wa kizazi kipya"alisena Suzy.

Alisema kuwa uwezo wa kucheza muziki alionao unaweza kumsaidia kujitangaza zaidi kimuziki kwa kuwavutia wapenzi wake wa muziki.

Alisema kuwa amejipanga kuimba nyimbo za aina zote kuanzia muziki wa kisasa hadi miziki ya zamani na kuongeza kuwa hiyo ni hatua kubwa kwake akiwa kama mcheza  muziki na msanii wa muziki.

0 comments: