Wasanii wadada walivyojili katika usiku wa mastaa wa Bongo Movie
| Mamaa Batuli (kulia) na Rose Ndauka wakiwa katika Red Carpet |
| Prezidaa Steve Nyerere |
| Mh Batuli kweli unajitaidi mamaa kwa kujichanganya |
| Batuli, Esther wa Perfect Lady Saloon (kushoto) na Snura katikati |
| Rose Ndauka (kushoto) na Esther |
| Ahaa huyu dada alidhamini Miss Kinondoni na ndie anampamba Miss Tanzania kwa sasa saluni yake ipo Kinondoni pale opposite na Open University |
| Mh yani huyu Shilole akiwa na jinji Kabula wakaanza mauno yao |
| Mheshimiwa mgeni rasmi Jerry Silaa akiwa katika picha ya pamoja na Batuli |
| Hawa wadada wa Shilole nao jamaniii |
| Shiloleee kamua mamaa ya nguvu |
| Haya vijana wa Mbagala walipiga deo la buree |

0 comments: