Sajuki alinigusa sana---Mbunge Vicky Kamata
Mbunge Vicky Kamata akiwa na wasanii mahiri mbalimbali wa filamu kulia ni mtoto wake wa kwanza naye alikuwepo kwenye msiba wa Sajuki| Akiwa na wajumbe wa kamati ya msiba ambapo Vicky alipata fursa ya kutoa rambirambi zake katika msiba huo |
| Alipata pia kushiriki chakula cha pamoja na wasanii wenzake hao kwa kuwa Mbunge huyo pia ni msanii mwanaharakati wa masuala ya muziki na akina mama |
| Akiwa na Steve Nyerere |
| Mbunge Vicky akiwa na wasanii mahiri nchini Ray (kulia), Mzee Chilo na Rais wa Taff Simon Mwakifwamba |
| Ahaa wewe mtoto umekuwa mkubwa hivi!!! Monalisa akimshangaa mtoto wa vicky inaonekana alimuona wakati mtoto huyu akiwa mdogo sana |
| Mbunge Vicky Kamata aliguswa sana na msiba wa Sajuki, alikuwa mmoja kati ya waheshimiwa waliomsaidia mchango wa kwenda kutibiwa India |

0 comments: