Mdada mwenzetu ajinyonga Tabata Barakuda eneo la karibia na msikitini
| Kwanza samahanini kwa hii picha inahusu huyu dada wa kazi za nyumbani wa eneo la Tabata Barakuda aliyejiua jana saa moja usiku na bado chanzo hakijulikani |
| Umati wa watu ulikusanyika kujua nini chanzo |
| Watu wakiuchungulia mwili wa marehemu |
| Inasemekana kuwa hilo ni tukio la pili kujitokeza katika eneo hilo |
| Maaskari Polis wa kituo cha Rozana wakichukua maelezo |
| Hapa kazi yao ikiendelea ya kuhoji wahusika |
| Machela ya kubebea mwili wa marehemui ilifika |
| Waliuingiza mwili wa mdada huyu mwenzetu na kuondoka nae ambapo blog hii itaendelea kuwajulia taarifa kuhusiana na kile kilichomsibu mdada huyu |

0 comments: