TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Saturday 19 January 2013

Jacline Wolper aungana na wasanii wenzake kupigania haki za wasanii

Ikiwa Jumapili hii ya tarehe Januari 19, 2013 ndio wasanii wa filamu na maigizo wanakutana katika ukumbi wa vijana kuandamana  kupinga viwango vipya  vya kulipia kazi zao vilivyowekwa na Bodi ya Filamu nchini msanii Wolper amewataka wasanii wenzake wanawake kuhakikisha kuwa wanajitokeza na kuwa mstari wa mbele kupigani haki zao hizo.

"Mimi kama msanii mwanamke naona kuwa huu ni wakati wangu kuhakikisha kuwa ninawahamaisha wanadada wasanii na sisi kujitokeza kuwa mbele katika kupigania haki za wasanii kwa kuwa sisi pia ni wadau na tuje kwa wingi hapo Vijana Center katika mkutano na waandishi wa habari

0 comments: