Wasanii wanawake walivyoshiriki katika kutetea haki zao leo
| Msanii Batuli alisema hivi" Yani kwa sisi wasanii wanadada tunaweza kuwasaidia wanadada wenzetu kuwaelimisha kupitia sanaa, sasa basi tusinyonywe acheni tu uwakilishe vema" |
![]() |
| MH!!! huyu mshosti nae haya lakini ndo mawazo yake |
| Akaanza kuzungumza machache na wadau mbalimbali kuhusiana na wasanii wanavyobanwa katika kufanya kazi zao. |


0 comments: