TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Friday 11 January 2013

Mwanadada huyu baba yake mchaga mama mkorea amekzaliwa na kukulia Marekani kwa sasa karudi Bongo kutengeneza filamu za maisha ya wazazi wake.

Ni huyu kulia akiwa na mama yake (kulia kwake) akipewa zawadi ya maua wakati wa uzinduzi wa filamu hiyo

Watu mbalimbali walikuwapo

Add caption

Walizindulia katika ukumbi wa cinema wa Slipway

Natasha Nkokutangira mhariri  wa Star alikuwepo

Huyu ndo mwandaaji wa filamu hiyo akizungumza na wageni hao


Habari Kamili.
Huyu Dada anaitwa Kimaro ni alizaliwa nchini Marekani wakati wazazi wake walipokuwa wakisoma nchini humo miaka ya 70 na kwa sasa ana uraia wa Marekani huyu dada ameamua kurudi kijijini kwao Moshi na kutengeneza filamu inayohusu maisha ya wazazi wake hao na uhusiano wao ulivyokuwa

0 comments: