Juzi nilialikwa katika hafla ya madada wa kihindi, eti hoo mbona unaweka madada wa kibongo peke yao
| Kwanza kikalika chakula cha kihindi mwanzo mwisho |
| Kisha yakaja mangoma ya kihindi yanki ilikuwa baraha tupu |
| Zikachezwa zote za kihindi uzijuazo |
| Huyu dada alifunika mbaya |
| ilichezwa ngoma mpaka mida ya night kali |
| Kumbe vidole juu sio katika taarabu |

0 comments: