Harusi ya Juma na Alice
Bibi. Harusi Alice, Matron Miriam na Maids wakiwa ktk pozi nje ya Glowrgeous saloon – Mbezi Beach |
Mtu na Mtuwe wakiwa wametokelezea |
Bwana na Bibi Juma Machanchu |
Hongereni
Bi. Alice na Bw. Juma kwa kufunga ndoa takatifu
|
Wadada angalieni nilivyopendeza |
Tabasamu
kali sana
|
Mrs. Miriam Gasper (Kushoto) akiwa na mume wake Gasper (Kulia) katikati Bwana harusi Juma Machanchu. |
Tufungue sherehe yetu kwa maombi |
Wakati wakutoa zawadi na kuselebuka |
Cheki pozi ilo |
Washereheshaji wa siku iyo ndani ya Lamada hoteli, Bi. Kristin na Getleman Makenge walifunika vibaya |
0 comments: