TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Saturday 26 January 2013

Mashosti heee, lo! tuzijue na kuzilinda haki za watoto jamanii ehee!

Yani huyu muziki umemkolea sasa anajiachia tu bila ya kujua kuwa huyo mwanae pembeni anatakiwa kutoona hayo masuala

Mh hili nalo ndo kwanza mtoto kambana hata hajui kuwa anamtesa mtoto buree

Asa mtoto akiwa anakunywesha bia je yeye si ndo anajifunza hebu angalia kwanza

0 comments: