Mdada Nancy Sumari Miss Tz wa zamani aanza mchakato wa kuwasaidia vijana kuhusiana na masuala ya ICT
| Huyu ni mmoja kati ya wamiliki wa KINU akizungumza na vijana |
| Nancy yeye aliwaelezea umuhimu wa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) ambapo hakusita kumsifia mumewe pembeni kuwa alimsaidia kwa kiasi kikubwa kuingia kaika fani hiyo |
| Yep she is still very cute lady na anawakilisha vema yani hachuji huyu dada keep it up |
| Wadada walivutiwa nae sana na kujikuta wakipiga nae picha mbalimbali |
| Wakati akitoa somo mumewe all the time alikuwa pembeni akifuatilia |
| Pia alipata nafasi ya kuzungumza na wadada mmoja mmoja |
| Wadau wa KINU wakiendelea kufuatilia |

0 comments: