TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Monday 28 January 2013

Mfahamu huyu dada anaitwa Doreen Noni













Ni mbunifu mzuri wa mavazi akiwa anatumia lebo yake ya Escado Bird
Hapa ameshika haya matambala lakini akianza kubuni mavazi atakachokitoa hapo ni nguo bora za maana tena sana tu

Pia ana utaaalamu wa kupanga mavazi kwa waigizaji na hata wanamuziki ndie alihusika kwa Epiq Bongo Star Search 2012 na kwa sasa anahusika kwa Siri ya Mtungu



Yes anafanya masuala mbalimbali akiwa kama mtaalamu wa masuala ya Interior Design



Jumatatu ijayo utamfahamu zaidi tutazungumza nae kaeni mkao wa kula

0 comments: