Kiota hiki ni kizuri kwa akina dada hasa ambao hawapendi vurugu
Kipo eneo la njia ya Mikocheni kutokea kwa njia ya Sayansi kuelekea kwa Mwalimu Nyerere mbele ya klabu ya La Fiesta panaitwa klabu 327 |
Kuna vyumba maalum kwa walaji wa kinywjai maalum |
Mkurugenzi akiongea na waandishi wa habari waliofika siku ya uzinduzi |
Hii ni klabu ya Hennessy ambapo chumba kama hiki mtu ukiingia unalipia laki tatu na unakuwa na watu wako sita tu tayari kwa kula bata mpaka asubuhi |
0 comments: