Miwani huongeza haiba kwa wadada
Pia nadhani inaongeza hali ya kujiamini zaidi kwa mwanamke coz macho yake yanakuwa hayagongani na ya anayeongea nae moja kwa moja especially kama ni mwanaume |
Whaooo! very cute |
Kama huyu alivyokutwa akijishikisha kwa Bob Junior |
yep na hata pia huongeza wizi kwa wadada
ReplyDelete