TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Tuesday 11 December 2012

Wadada wa Netiboli wa TZ wafanya kweli Singapore

Mke wa Lukuvi akionesha (kushoto) hakusita kwenda kluwapokea akina dada hao kwa kuwa kwanza yeye ni ndio mwenyekiti wa wake za viongozi sasa ilimbidi kujivuta kuwapa sapoti akinadada hao na aliwatwisha laki mbili

Hawa ndio ma bi shosti wenyewe ndio wametuwkailisha vema huko Sinagapore ambapo wanaume wa timu ya Taifa Stars wao wanaboronga tu lakini hawa madada wanafanya kazi kwelikweli hebu tuwasaidie

Walipata picha ya pamoja

Full kufurahia hapa walikuwa katika hotel ya Brue Pearl iliyopo Ubungo Plaza

Mama Bai akiwapatia somo kabla ya kauanza kugonga tea


0 comments: