Jamani mashosti tuwaunge mkono wabunifu wetu wa ndani
| Anayefanikisha hili ni Ailinda Sawe tumuunge mkono kwa kumtumia kubuni nguo zetu |
| Cheki mgauni huo |
| Mwenyewe Ailinda ndo huyo mbele |
| Hii ni kazi za Fansisca Shirima wa Francoo Design |
| Haya Chacha |
| Unaona kazi hiyo |
| Zinafaa jamani hata katika Kitchen Party |
| Hii ni kazi ya KIKI Fashion |
| Kiki ndo huyo wa hapo kati |

0 comments: