Namna ya kutupia usiku ukienda mtokoni
| Kama huyu AJ yani hajaangaika sana yeye ametupia kutoka kwa wabunifu wa ndani |
| Unamuona huyo aliyevalia nyeusi yani anavutia kweli hasa kwa usiku |
| Yep huyu yani katupia simple tu lakini anaonekana wa ukweli kabisa si unamuona |


0 comments: