Wema ze totozzzzz
| Ah ni mtu wa story na kila mtu kusema kweli hanaga mashauzi huyu dada |
| Anakumbukia enzi zake wakati akiwa Miss Tz au yani all the time yupo kwenye swaga |
| Just look at her hair do, yani du!!! |
| Anyway kuanzia jumatatu ijayo tutawaletea habari kuhusiana na masuala yake na mikakati |

0 comments: