Hili ni kundi la akinadada linaitwa Kankalaga
Ni la wadada wa tatu wa THT |
Ukiondoa mwenye kaptura nyekundu wengine hao ni Professional dancers |
Wakiwa jukwaani wanatisha kwelikweli |
Si unaona swaga zao |
Wanavutia sana |
Hasa wa katikati |
Feti mwenyewe anawatambua |
Yani kama Destiny Child |
0 comments: