Millen aibukia Mtwara kuna mengi ameenda kufanya huko
| Akielekea kupanda ndege kuelekea Mtwara kwa ziara hiyo |
| Hapa akiwa ameshawasili Mtwara |
| Hapa wakati yupo ndegeni na timu yake ya PR and Publicity |
| Akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara William Ndile |
| Akipokelewa na wageni na viongozi mbalimbali wa mkoani Mtwara |
| Ohh hata Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Simbakalia alikuwapo kumpokea |
| Hapa akiwa amepokelewa na Waziri wa Jinsia, Wanawake na Watoto Sophia Simba (kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa |
| Akisaini kitabu cha wageni |
| Wadau wengine kadhaa walijitokeza kumpokea Millen |
| Ohhoo some hugs |
| Hapa ndipo alipofikia kupumzika hapa akiwa anazungumza na wakuu mbalimbali mwenye shati nyeusi ni Jaji wa Kanda ya Kusini na huyo mwarabu ni Mbunge wa Mtwara Mjini bwana Murji |
| Ohh akiwa amepumzika kwanza |
| Hiyo ndo Logde ya Mtwara ni kali usipime |
| Habari zaidi zinazidi kuja usikose kutazama blog yako hii ya wadada niliomba mnitumie maswali mnayotaka aulizwe huyu mdada tuma katika elimuboratanzania@gmail.com |

0 comments: