Msanii wa kike atakaeandikwa humu wiki ijayo ni Rachel
Racehl ndo huyo wa katikati hapo |
Hope mnamfahamu ni mdada mbichi kabisa anaimba vema hana pozi na anaweza kuimba kila aina ya wimbo |
Hapa akiwa na msanii Anika wakati wa kuzungumzia masuala ya ziara ya Tigo itakayoanza hivi karibuni |
Pembeni yake ni msanii mwenzake wa THT ambae ni dancer anaitwa Msami |
Yep yep Rachel wewe ni mdada ambae unaweza fika mbali sana ukiendelea kuwa makini namna hii. |
0 comments: