Fani ya Mitindo imeajili wadada wengi hapa Bongo
Wadada wa nguvu katika fashion Bongo Asia Idarious (kushoto) ma Abaya katikati ilikuwa ni katika onesho la mavazi ya Abaya yaliyofanyika katika hoteli ya Hyat Kempinski |
wageni wakiingia katika onesho hilo la nguvu |
Wanamitindo wadada wakiwa wanajadiliana na Asia kumbe fani ya mitindo inaongeza ajira bongo! |
0 comments: