Koffie Olomide alichizisha madada vya kutosha
Pembeni ni mkewe Sindy mdada huyu alivutia kwa sauti yake nyembamba na kali na kujikuta akiwakuna watu wengi waliokuwepo katiak viwanja vya Leaders |
Ilifika wakati akaanza kusakata muziki na wadada wanaoshiriki shindano la Miss East Afika, dah! ilikuwa balaa kweli manake jinsi alivyokuwa akiwachezesha aibuuu. |
0 comments: