Hivi huyu sababu kasoma sana ndo maana hapendi kupendezesha nywele zake au ndo swaga zake tu
Hapa akiwa anafungua mashindano ya wanafunzi wa vyuo vikuu katika viwanja vya UDSM |
Watu husema kuwa ukimuona mwanamama mwenye wadhifa fulani au hela na akawa anajichukulia simple kama huyu basi ujue kuwa amesoma sana |
Yani huwa nywele zake yeye siku zote amesuka twende kilioni |
Akisalimiana na Awaichi wa Zantel |
0 comments: