Mwanamama awapendae wanyama kuliko mumewe
![]() |
Huyu ni mama Liner aishie Pritoria Afrika Kusini |
![]() |
Yani wanyama kama hawa anawafuga tangia wakiwa watoto na kisha ndo marafiki wake wakubwa |
![]() |
Hata mazoezi ndio huwa anafanyaga nao |
![]() |
Si unaona huyu Simba akiwa nae ndani kwake |
![]() |
Wengine huogelea nao kila siku |
![]() |
Hata akiwa jikoni huwapikia na kula nao |
![]() |
Mh yani hata muda wa kukaa na mumewe hana |
![]() |
Sijui hata kama huwa akilala usiku na mumewe mawazo yak huwa hayawi kwa wanyama kama hawa |
![]() |
Huyo ndo mumewe wakati wa ndoa yao na inaonekana kuwa mawazo yake yooote yalikuwa kwa mnyama huyo mbele yake |
0 comments: