TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Wednesday 26 June 2013

Ujumbe wa leo kwa wadada wenye kujisahau

Vaa nguo zote upendeze lakini SANDA ndiyo fasheni ya mwisho, Tembea kote lakini KABURINI ndiyo matembezi ya mwisho. 

Panda gari, punda, meli, treni, ndege, ngamia na pikipiki lakini JENEZA ni gari la mwisho. 

Kusanya mali na mizigo mingi ya thamani lakini UDONGO ni mzigo wako wa mwisho, utapewa majina meengi mazuri ya kukusifia lakin marehemu ndio jina la mwisho, paka manukato yote mazuri lakin Uvundo ndiyo marashi ya mwisho, lala kitanda na nyumba nzuri lakin kaburi ndiyo nyumba ya kudumu, linga kwa uzuri na umbo lako lakin ukifa utabaki mifupa, TUMCHE MWENYEZI MUNGU TUZIKINGE ROHO ZETU NA MOTO WA JEHANAN!



0 comments: