TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Sunday 7 July 2013

Brtney Spears amekuja kuwashika


MWANADADA msanii wa muziki kutoka nchini Marekani Britney Spears anaandaa albamu yake mpya kwa sasa.



Hatua hiyo inaonekana kuwa itakuw ani ya kiushindani hususan kwa washindani wake wanadada kama vile Beyonce, Katty Perry na Lady Gaga ambao wamekamata kwenye chati ya muziki kwa sasa.



Britney ambae alitoa taarifa hiyo kuwa naaandaa albamu yake aliitolea kwenye mtandao wa kijamii wa twitter kwa kusema kuwa hawezi kusubiria kuwaonjesha wapenzi wa muziki kuwa kuna nyimbo mpya zinakuja.



" Mimi naona kuwa kwa sasa ninakila sababu ya kuwaonjesha radha nzuri ya nyimbo zangu mpya zinazokuja kwenye albamu yangu na watu wawe tayari" alisema Britney.



Kwa sasa wasanii wanaotamba kwenye medani ya muziki nchini Marekani na kwengineko ni pamoja na Beyonce, Lady Gaga, Ketty Perry na wengineo.



Kwa ujio huu mpya wa Britney unatishia uwepo kwenye chati kwa wasanii hao wakubwa kwa kuwa Britney anaonekana kuwa atakuwa ndio kwenye chati.

Mwisho

0 comments: