Beyonce ampagawisha mshindi wa X Factor nchin Uingereza
MSANII gwiji wa muziki kutoka nchini Marekani Beyonce ambae kwa sasa anajulikana kama Mrs Carter akiwa nchini Uingereza kwenye ziara yake ya Mrs Carter amempandisha chati mshindi wa shindano la kuimba la The X Factor.
Kijana huyo alikuwa ni miongoni mwa washabiki wa muziki waliojitokeza kwenye shoo hiyo ya Beyonce iliyofanyika jijini Manchester.
Ilikuwa ni Alhamisi iliyopita ambapo Beyonce akiwa kwenye oneshop lake alijikuta akilazimika kuimba na mmoja kati ya wapenzi wa shoo yake hiyo waliojitokeza siku hiyo.
Alipokipeleka kipaza sauti chake kwa washabiki wake walioudhuria wakiwa kwenye mstari wa mbele alipelekewa kipaza sauti kwa kijana huyo aitwae Joe na kisha na yeye akaimba kidogo.
Bila ya kufanya kosa kijana huyo aliimba kwa hisia kali huku akiiikoleza sauti yake hiyo yenye kuvutia kablaya Beyonce ajakichukua tena kipaza sauti chake.
Beyonce alionekana kukunwa na uwezo wa uimbaji wa kijana huyo na kujikuta akimsifia kuwa anayo sauti nzuri na ya kuvutia.
Lakini hata hivyo Beyonce alionekana kuwa alikuwa hajui huyo kijana alikuwa ni nani katika medani ya muziki.
Joe aliwahi shinda kwenye shindano la kusaka vipaji vya uimbaji kwenye shindano la lililoendeshwa na kituo cha ITV mwaka 2009,
Pia kijana huyo aliyewahi kushinda mashindano mbalimbali ya muziki alijikuta na yeye akishindwa kuelezea hisia zake ambapo alitumia mitandao ya kijamii kusisitiza kuwa amefurahishwa na sifa alizopewa na Beyonce na kusisitiza kuwa hata akifa leo atakufa akiwa mwenye furaha.
------------

0 comments: