TOP NEWS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas mattis nisi felis, vel ullamcorper dolor. Integer iaculis nisi id nisl porta vestibulum.

Sunday 12 May 2013

Jamaa Kim Kardashian (Kanye West) ala za uso





MWANAMUZIKI mkali wa miondoko ya kufoka foka Kanye West alijikuta akigongesha uso wake kwenye bango dogo lililopo mtaani.

 Kanye West akiwa na mpenziwe Kim Kardashian alikuwa akitembea na mpenzi wake huyo akielekea kwenye mgahawa wa Vietnam wa 9021 uliopo katika eneo la Beverly Hills.

 Ingawaje alipata kajeraha kadogo usoni mwake lakini hata hivyo ilikuwa gumzo kwenye eneo hilo.

 Hali hiyo ilipelekea mpenziwe Kim kumtuliza huku akimsihi kuendelea na safari yao kwenye mgahawa huo ambapo Kanye West  alilazimika kutaka kumtuliza mwandishi wa habari aliyekuwa akifuatilia sakata hilo zima.

 Muda mfupi baadae Polisi waliwasili kwenye eneo la tukio lakini hata hivyo hakuna aliyejua kuwa Polis hao waliitwa na nani.

 Wapenzi hao wote walikuwa wamevalia wote nguo nyeusi huku wakiwa wameongozana kimahaba kwa kipindi chote hicho, kwa sasa Kim anaendelea vema na ujauzito wake.
Mwisho



0 comments: